POLISI WAFYATUA MABOMU SINGIDA, WATU WARUSHA MAWE, MSAFARA WA BOT WADAIWA KUGONGA MTOTO

1 Просмотры
Издатель
Jeshi la polisi mkoani Singida limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliokuwa wamechoma matairi barabarani nakupiga magari mawe kufuatia msafara unaodaiwa kuwa ya benki kuu kumgonga nakumuua mwanafunzi anayefahamika kwa jina la Johnson Stephen mwenye umri wa miaka saba wakati akivuka kwenye kivuko (zebra cross).
Категория
Фантастика онлайн
Комментариев нет.